Header Ads

Video: Diamond Platnumz na Ne-yo waonjesha collabo yao katika show ya JEMBEKA | JOH MUSICTZ

Diamond Platnumz anaingia kwenye headlines nyingine baada ya jana kufanya show ya kukata na shoka katika JEMBEKA FESTIVAL iliyofanyika mjini Mwanza, ambapo yeye pamoja na NE-YO walitambulisha nyimbo yao mpya ambayo inasemekana inayoitwa I WILL MARY YOU.
Free Download Show
Hapana nimekuwekea kipande kifupi cha wimbo huo ambao waliutumbuiza jana:


No comments