Header Ads

LINDA PENZI LAKO KWA KUFANYA HAYA.

LINDA PENZI LAKO KWA KUFANYA HAYA.


Mambo ya msingi kuzingatia katika mahusiano ni kuwa mvumilivu wengi wetu tunakuwa na mapenzi ya mda kwa sababu ambazo zinasababiswa na sisi wenyewe uenda ni kwa tabia zetu ama ni kwa mazingira tuliyokulia  wengi wamevunja ndoa ,uchumba  kwa sababu ambazo uenda zingelekebishika katika kizazi hiki cha ’21’ wengi wamekuwa awadumu katika mahusiano yao kwa sababu ya tamaa.
Tamaa imekiwa chanzo kimoja wapo  cha kuvunjika kwa ndoa  na uchumba mara nyingi kuna baadhi ya watu uwa awaridhiki na wenzi wao hii ni kwa sababu ya tamaa  
Sasa ni wakati wa kulinda penzi lako kwa hatua hizi chache ambazo nina uhakika ukizitumia zitakupa faida .
  1. KUWA MWANINIFU : unapokuwa mwaminifu kwa mwenzi wako hii itasaidia sana kwa huyo mpenzi wako kuona kuwa unamwamini na hii kwa upande mwingine inaweza ika mbadili ata kama alikuwa na tabia ambazo si njema inaweza kumbadilisha endapo kama ukijenga uaminifu sahihi kwa mpenzi wako.
  2. KUWA MKWELI KWAKE moja ya vitu vikubwa vinyovunja penzi ni uongo wengi wa wanawake  uukubali uongo na wanaume wengi upenda kudanganya  rafiki yangu kama utaamua kuwa mkweli kwa mpenzi wako ni wazi kuwa utadumisha penzi lako, mara nyingi wapenzi wengi  udanganya kwa kuhofia kuwapoteza wenza wao lakini nataka nikwambie kuwa ukweli siku zote utabaki kuwa ukweli unapompata yule unayempenda jitahidi sana usimdanganye kwa kuhofia kumpoteza niseme akuna anayependa kudanganywa na mpenzi wake.
  3. ZAWADI ZA GHAFLA (SURPRISE) penda sana kumpatia mpenzi wako zawadi za ghafla hii itamfanya akuone wewe ni wa thamani na kutotamani kwenda pengine akiamini akuna mwingine kama wewe     zawadi ya ghafla (surprise)  ni moja ya matukio yenye nguvu kubwa sana katika mahusiano penda ata kumsh-tukiza mf:mke wangu nipo njiani nakuja nyumbani nataka tutoke wote .. Mara nyingi kwa kufanya hivi utamuweka mpenzi wako kuwa mwaminifu kwako na kuamini kuwa mda wowote unaweza kumhitaji hivyo kwa namna nyingine itamfanya awe makini na wewe tu 
  4. CHAKULA CHA USIKU chakula cha usiku ni muhimu sana kukizingatia kama unataka kulinda penzi lako penda kumridhisha mpenzi wako  kwa raha na msisimko asiri (tutalizungumzia somo hili kwa undani zaidi katika makala zinazokuja hivyo kuwa makini ili upate uhondo zaidi ) kutokumridhisha mpenzi wako/mke wako hii itamfanya awe paka mapepe  kwa kutafuta atakaye mridhisha swala hili ni muhimu sana kama unahitaji kudumisha pendo lako liwe imara. 
  5.  KUMHESHIMU NA KUMJALI MPENZI WAKninafikiri wote walio katika mahusiano akuna asiyependa kuheshimiwa na ku-jaliwa. Siku zote hakikisha aumdharau mpenzi wako wala kuto-kumjali  napenda nikwambie kuwa unapomjali mpenzi wako unazidisha mara 50 ya penzi alilokuwa akikupenda mwanzo mheshimu kwa nafasi aliyonayo kwako utambue umuhimu wake kwako na muoneshe kuwa akuna kama yeye .            



    No comments