NJIA NA JINSI YA KUMFANYA MPENZIWAKO ASIKUACHE WALA KUKUZALAU
ZIJUE NJIA ZA KUMPAGAWISHA MPENZI WAKO
Imekuwa kawaida leo hii kwa wanaume walio wengi kuwa na nyumba ndogo, hii yote ni katika kutafuta mapenzi motomoto ambayo yatampagawisha. Akina dada mlio wengi leo hii mmejisahau sana kwa wapenzi wenu kiasi cha kwamba wanatoka nje ya mahusiano. Leo hii 75% ya watu nduniani ni wanawake na 25% tu ni wanaume kwa idadi hiyo wanawake ni mara tatu ya wanaume, niwengi sana hivyo kwenye kila wanawake 75, 25 tu ndio wanaoweza kuwa na wanaume wengine walio baki huwa hawana wanaume wao wa kudumu, hivyo hutumia kila mbinu kuweza kupata mwanaume ambae atamliwaza kama wanawake wengine. Hivyo yakupasa uwe na kila mbinu za kuweza kumfanya mpenzi wako akukumbuke kila mara na kutoweza kutoka nje ya mahusiano. Fuatili makala hii hadi mwisho, uielewe, uifanyie kazi halafu utaona matokeo yake.
Jinsi ya kumteka mumeo katika suala la ndoa na kumfanya asitoke njee ya mahusiano tutaangalia sehemu kuu tatu Kabla, Wakati na Baada ya tendo. Utajifunza taratibu na maeneo ambayo kitaalamu huwa yanamificho ya mihemko ya mwanaume na kumfanya mpenzi wako kujisikia raha wakati wote wa tendo.
SEHEMU YA KWANZA (Kabla ya Tendo)
Kabla ya tendo la ndoa kuna mambo mengi sana sana yakupasa kuyajua na kuweza kuyafanya wakati huo:
Kabla ya tendo la ndoa kuna mambo mengi sana sana yakupasa kuyajua na kuweza kuyafanya wakati huo:
1+) Usafi wa mwili; Kitu cha kwanza kukizingatia kabla ya yote lazima mwanamke uuweke mwili wako safi kabla ya tendo. Hii ikiwemo na kuoga mwili mzima, kusafisha sehemu zako za siri ikiwemo na mahala popote ambapo pamefichika kwani sehemu hizo wanaume walio wengi na wanaojua mapenzi hupenda kuzichezea sehemu hizo kwakua ndizo ambazo huhifadhi mihemko ya mwanamke. Baadhi ya wanawake hujisahau kujisafisha vizuri na kutoa jasho tu lililopo katika miili yao bila kusafisha sehemu nyenginezo ambazo hutumika katika masuala mazima ya tendo la ndoa huvyo kutokana na harufu za baadhi ya sehemu humpunguzia mwanaume hamu ya kitendo. Hakikisha masikio na kitovu chako vipo safi. Pia hakikisha sehemu ya magoti yako kwa nyuma zipo safi
2+) Usafi mahali pakufanyia tendo; hakikisha unasafisha chumba au mahali ambapo umepaanda kwa ajili ya kuja kumliwaza mwenzi wako kabla hajafika eneo la tukio. Hii ikiwemo na kutandika kitanda vizuri sana kwa rangi za upendo mfano:(nyekundu) kama hauna basi jitahidi kupata rangi yeyote ambayo ni nzuri Ila usiweke shuka jeusi kwani rangi nyeusi ni rangi ya uzuni, pia kuweka manukato mazuri sana ikiwemo maua, kama ni wakati wa usiku ni vizuri kuandaa mishumaa au taa ya rangi
(+³) Vaa nguo fupi vaa nguo fupi (sketi fupi), hii humfanya mwanaume kupata mihemko pindi anapokuona, pia humuandaa kisaikolojia na kuufanya mwili wake kuwa tayari pindi utakapohitajika. Baadhi ya wanawake hupenda kuvaa nguo fupi watokapo na kuwaonesha watu wengine sehemu zao muhimu lakini hawafanyi hivyo kwa wapenzi wao pindi wawapo ndani hii sio tabia nzuri jamani, muonesho mumeo kwamba hakubahatisha kukuchangua wewe. Hakikisha nguo zako za ndani (chupi na sidiria) ziko safi na zenye mvuto.
→4→_ Usimuudhi mpenzi wako; hakikisha kwamba husababishi maudhi ya aina yeyote kwa mpenzi wako, ikiwemo lugha chafu, kumzungumzia na kumsifia mwanaume mwengine, mpambe mpenzi wako kwa majina mazuri (Baby, honey, my sweet, na mengineyo kama hayo) kabla ya tendo. Baadhi ya wanawake huwaita waume zao majina mazuri wakati wanapopewa zawadi tu au wakati wanapofikishwa kileleni hii sio sawa kabisa, sababu huu utakuwa ni unafiki mwanaume aweze kukufikisha kileleni anaitaji maandalizi bibi eeh, muandae kwa majina mazuri ili ajisikie furaha mwili upate kutulia kwani wengine huwa wameudhiwa huko walipotoka sasa unatakiwa kumtoa alipo na kusahau kabisa. kwani kitaalamu mwili unapotulia (relax) huondosha msongo wa mawazo hivyo utakuwa umeufanya ubongo wake uweze kukuwaza wewe wakati wote.
Post a Comment