Header Ads

TIBA YA KUTOKWA NA MAJI UKENI NA MUWASHO SIRINI


Unachotakiwa ni kuponda ponda mbegu za kokwa la embe ziwe uji kisha changanya na maji, halafu uwe unakunywa maji yake japo mara mbili kwa siku kwa kipindi kisichopungua wiki moja au mbili.
Kwa uwezo wa Allah basi utapona tatizo lako.
Pia unaweza kujitibu tatizo hili kwa mimea mingine kama vile majani ya mpera.
MATUMIZI : Chukua majani ya Mpera kiasi cha robo kilo katika lita mbili za maji, kisha chemsha kwa dakika 15. Ikipoa oshea ukeni mara 3 kwa siku kwa muda wa wiki mbili.
MWAROBAINI : Chemsha 1/4 kilo ya Mwarobaini kwa maji lita mbili kwa dakika 15 kisha oka jikoni, ukishaepua kiasi osha uke kwa maji hayo mara 2 kwa siku kwa muda wa wiki mbili.
NB : Sio lazima utumie njia zote hizo ila ukiona umetumia ya kwanza tatizo bado, ndipo unaweza ukatumia njia nyingine.

No comments