Header Ads

ZIJUE FAIDA KUU 5 ZA KUOA



Ndugu yangu fahamu kuwa kuoa kuna faida nyingi mno, lakini hapa tutazitaja chache katika hizo ambazo ni :
  1. Ndoa ni sababu ya kubakia kizazi kikiendelea kuzaana hapa Duniani.
  2. Ndoa ni sababu ya kuhifadhi tupu ya mtu husika kutokana na zinaa,
  3. Ndoa ni sababu ya kuhifadhi macho kunako kutazama vitu vya haramu (Yaani Wanawake wasio halali yako).
  4. Ndoa ni sababu muhimu sana ya kuyaondoa maji yaliyojazana katika mwili wa mtu husika, maji hayo ni yenye madhara makubwa endapo yataendelea kuwepo mwilini, maji hayo si mengine ni manii.
  5. Ndoa ni sababu ya kuustarehesha moyo wako kwa ladha ambayo haielezeki kwa ufasaha wowote bali ladha ile nafsi pekee ndiyo inayoifahamu na kujua kiwango cha ladha hii.

No comments